Zlatan Ibrahimovic amefunga mabao
mawili wakati PSG ikiilipua Bayer Leverkusen kwa mabao 4-0 katika mechi ya Ligi
ya Mabingwa Ulaya kwao Ujerumani.
Mabao mengine ya PSG yamefungwa na
na Blaise Matuidi na Yohan Cabaye aliyejiunga na timu hiyo akitokea Newcastle,
msimu huu.
Vikosi:
Bayer
Leverkusen: Leno, Hilbert,
Spahic, Toprak, Guardado, Bender, Rolfes, Castro, Sam, Kiessling, Son.
Subs: Yelldell, Reinartz, Wollscheid, Hegeler, Oztunali, Boenisch, Brandt.
PSG: Sirigu, Van Der Wiel, Alex, Thiago
Silva, Maxwell, Verratti, Thiago Motta, Matuidi, Lucas Moura,
Ibrahimovic, Lavezzi. Subs: Douchez, Cabaye, Marquinhos, Menez,
Digne, Rabiot, Pastore.
Referee: Viktor Kassai (Hungary)
0 COMMENTS:
Post a Comment