February 4, 2014

LAUDRUP
Uongozi wa Swansea umemtimua kazi kocha wake, Michael Laudrup kutokana na mwenendo mbaya wa timu hiyo.


Taarifa zilizoifikia blog hii punde zinaeleza bodi ya wakurugenzi ya Swansea imefikia uamuzi huo na tayari kocha huyo ameelezwa.

Swansea imekuwa na mwendo wa kubahatisha ndani ya mechi tano ilizocheza, hali iliyosababisha uongozi kufikia uamuzi wa kuachana na Laudrup.


0 COMMENTS:

Post a Comment

TwitterFacebookGoogle PlusLinkedInRSS FeedEmail

GONGA HAPA KWENDA AZAM TV

B2.jpg
Image and video hosting by TinyPic