Mshambuliaji wa AC Milan, Mario
Balotelli ameweka mtandaoni staili yake mpya ya nywele.
Hivi karibuni, Balotelli amekuwa kimya
na hata unyoaji ulikuwa wa kawaida.
Lakini leo mchana, ameonyesha yuko
katika aina mpya ya nywele ambayo ataanza kuonekana nayo akiwa na AC Milan.
0 COMMENTS:
Post a Comment