Mfanyakazi mwingine amekufa akiwa harakati za kumalizia mmoja wa
uwanja utakaotumika kwenye Kombe la Dunia nchini Brazil.
Hivi karibuni, wafanyakazi walianguliwa na vyuma vya paa kwenye uwanja mwingine utakaotumika kwenye Kombe la Dunia na kupoteza maisha.
Mfanyakazi huyo alikufa wakati wakiwa katika harakati za
kutengeneza paa la uwanja huo wa Arena da Amazon ulio kwenye mji wa Manaus.
Serikali ya Brazil imethibitisha kifo cha mfanyakazi huyo ambaye
si wa kwanza tokea kuanza kwa maandalizi ya viwanja kwa ajili ya michuano hiyo.
0 COMMENTS:
Post a Comment