February 23, 2014


,MPIRA UMEKWISHAAA

Dk 90+2..Musoti anapiga kichwa kinagonga mwamba
Dk 90, Simba wanafanya shambulizi kali, Kiemba anapiga kipa anaokoa, Tambwe anapiga, kipa anaokoa, anaumia...sasa anatibiwa
Dk 89, Kiemba anapiga shuti, kipa anadaka

Dk 87, Kiemba anapiha shuti mpira unagonga mwamba na kutoka nje
GOOOOO Dk 84, krosi ya Kiemba, Tambwe anapiga kichwa, bao.
Dk 82 Tambwe anapiga shuti lakini Dihile anaokoa
Dk 79, Badru anashindwa kufunga yeye na kipa, Mgisa anaokoa

Dk 70, JKT wanamuingiza Salum Machaku kuchukua nafasi ya Bunu
Dk 69 Damas Makwaya anapewa kadi nyekundu na kutoka nje ni baada ya kufanya faulo kwa makusudi.

Dk 68, Anatoka tena Awadhi anaingia Issa Rashid 'Baba Ubaya' GOOOOO Dk 65, Tambwe anafunga mkwaju huo

PENAAAT dk 64, Kiemba anaangushwa, mwamuzi anaweka penalti
Dk 58, Badrua anapiga shuti lakini mabeki JKT wanaokoa


Dk 57, Tambwe anapiga kichwa vizuri lakini kinatoka nje kidogo
GOOOOOO Dk 53, Emmanuel Swita anafunga bao la tatu kwa shuti kali baada ya kugongeana na Amosi Mgisa

dK 47, Badru anashindwa kufunga akiwa katika nafasi nzuri
Dk 46, Anatoka Henry Joseph kaingia Uhuru Selemani.
HALF TIME
GOOOOOO dK 45, Emmanuel Swita anapiga kifundi kabisa na kufunga

dK 44, Henru anamuangusha Amos Mgisa..PENAAAAT
Dk 23, Kipa Juma Dihile anakaa muda mrefu na mpira, mwamuzi anapuliza faulo, Simba wanapiga lakini Jonas Mkude anapaisha juu...goal kick.


Dk 21, Kiemba anawatoka mabeki wa JKT, lakini pia anapiga shuti kuuubwa juu hadi mashabiki Simba wanazomea.


Dk 18, Tambwe anaingia ndani ya eneo la 18, yeye na kipa anapiga shuti kuuubwaa.
Dk 16, Logarusic anamtoa Ndemla na nafasi yake inachukuliwa na Ally Badru.
GOOOOO Dk 13, Hussein Bunu anapiga shuti na kufunga ikiwa ni baada ya kumchambua Henry Joseph.
Dk 7, Tambwe anaingia ndani ya eneo la hatari lakini anashindwa kufunga
Dk 4, Iddi Mbaga anapata nafasi ya kufunga lakini anapiga shuti dhaifu.









0 COMMENTS:

Post a Comment

TwitterFacebookGoogle PlusLinkedInRSS FeedEmail

GONGA HAPA KWENDA AZAM TV

B2.jpg
Image and video hosting by TinyPic