Mechi za mpango wa kuboresha Taifa
Stars kati ya mikoa na mikoa wiki hii itakuwa kama ifuatavyo;
Februari 25 Njombe vs Ruvuma (Uwanja
wa Njombe)
Kinondoni
vs Ilala (Uwanja wa Karume)
Februari 26 Morogoro vs Pwani (Uwanja
wa Jamhuri)
Geita
vs Kagera (Uwanja wa Geita)
Kilimanjaro
vs Tanga (Uwanja wa Ushirika)
Iringa
vs Mbeya (Uwanja wa Samora)
Shinyanga
vs Simiyu (Uwanja wa Kambarage)
Lindi
vs Mtwara (Uwanja wa Ilulu)
Februari 27 Temeke vs Kinondoni
(Uwanja wa Karume)
0 COMMENTS:
Post a Comment