February 24, 2014


Kocha Mkuu wa Simba, Zdravko Logarusic amesema jana ulikuwa wakati mgumu sana katika maisha yake nchini Tanzania.
Simba ilikutana na kipigo cha mabao 3-2 kutoka kwa JKT Ruvu katika mechi ya Ligi Kuu Tanzania Bara kwenye Uwanja wa Taifa, jana.

Logarusic alisema hakutegemea kuona kikosi chake kinapoteza mchezo huo ambao walikuwa na asilimia nyingi za kushinda.
“Nimeshindwa kuwa katika hali yangu ya kawaida, kilikuwa kipindi kigumu zaidi,” alisema.
Lakini alisisitiza wao kupoteza mchezo kulitokana na na makosa ya watu binafsi na kutofuata maelekezo.

Mhakika ulikuwa mchezo lahisi na huenda wako walidharau lakini makosa ya kibibadamu kwa mtu mmojammoja yalichangia.

0 COMMENTS:

Post a Comment

TwitterFacebookGoogle PlusLinkedInRSS FeedEmail

GONGA HAPA KWENDA AZAM TV

B2.jpg
Image and video hosting by TinyPic