Mpenzi wa nyota wa Barcelona, Lionel Messi ametimiza miaka 26,
mpenzi wake amelazimika kuungana naye na kusherekea licha ya kwamba timu yake
ilipoteza mchezo dhidi ya Real Sociedad.
Messi pamoja na kuwa na majonzi lakini hakusita kuonyesha upendo
kwa kipenzi chake hicho, Antonella Roccuzzo kwa kuandika kwenye ukuta wake wa mtandao
wa kijamii wa Instagram maneno haya huku akiwa ameweka picha ya mpenzi wake
huyo:
“Nakupongeza kwa siku yako ya kuzaliwa, nakupenda sana mpenzi
wangu.”
ANTONELLA |
ANTONELLA (KULIA) AKIWA NA MPENZI WA CESC FEBREGAS AITWAYE, DANIELLA |
0 COMMENTS:
Post a Comment