February 25, 2014


Kocha Mkuu wa Mbeya City, Juma Mwambusi amesema wameweka mikakati ya kuhakikisha wanashinda mechi zote zinazofuatia.


Mwambuzi amesema kikosi chake kinachotaka ni ubingwa jambo ambalo linawezekana.
“Tofauti na watu wanavyofikiri, sisi tunachotaka ni kutwaa ubingwa na si jambo jingine.
“Hivyo tunapambana na sasa tunataka kushinda mechi zote zilizobaki, tunajua si kazi lahisi lakini tunapambana vilivyo,” alisema.

Mbeya City iko katika nafasi ya tatu katika msimamo wa Ligi Kuu Bara, Yanga ndiyo vinara wakifuatiwa na Azam FC.

0 COMMENTS:

Post a Comment

TwitterFacebookGoogle PlusLinkedInRSS FeedEmail

GONGA HAPA KWENDA AZAM TV

B2.jpg
Image and video hosting by TinyPic