February 25, 2014


Beki wa kati wa Barcelona, Gerard Piqué amesema anaumizwa na kukaa nje wakati timu yake ikipambana kurejea katika hali nzuri.


Pique amesema alifikiri alikuwa katika wakati mzuri wa kuisaidia Barcelona lakini analazimika kuwa mtazamaji.
“Mguu wangu wa kulia umekuwa na maumivu hapa kwenye ‘kiazi’, lakini naona kama nilistahili kuwepo kusaidia.

“Lakini daktari ameniambia naweza kuwa dimbani katika mechi ya marudiano na Manchester City,” alisema.

0 COMMENTS:

Post a Comment

TwitterFacebookGoogle PlusLinkedInRSS FeedEmail

GONGA HAPA KWENDA AZAM TV

B2.jpg
Image and video hosting by TinyPic