Mshambuliaji wa zamani wa Brazil aliyeisaidia
kutaa Kombe la dunia mwaka 2006 nchini Ujerumani, Rivaldo ameweka rekodi ya
kucheza na mwanaye akiwa na miaka 41.
Rovaldo aliyekuwa tegemeo Barcelona wakati wa enzi zake, amecheza katika kikosi kimoja na mwanaye
Rivaldo Jur mwenye miaka 18.
Mechi hiyo ya Ligi ya Brazil ilikuwa ni kati ya Mogi
Mirim dhidi ya XV de Piracicaba katika mechi iliyoisha kwa sare ya bao 1-1 kwenye Uwanja wa Romildo Ferreira jijini Sao
Paolo.
0 COMMENTS:
Post a Comment