PRISONS YAICHAPA JKT RUVU 6-0 Prisons ikiwa nyumbani imeichapa JKT kwa mabao 6-0 katika mechi ya Ligi Kuu Bara iliyopigwa leo mjini Mbeya. Hadi mapumziko wenyeji walikua mbele kwa mabao 4-0 na kipindi cha pili wajaongeza bao nyingine mbili.
0 COMMENTS:
Post a Comment