March 5, 2014


Zambia imewafunga wageni wake Uganda mabao 2-1 katika mchezo wa kirafiki uliochezwa mjini Ndola, Zambia.

Mshambuliaji wa Yanga, Hamis Kiiza ndiye alifunga bao pekee la Uganda maarufu kama The Cranes.
Kiiza na mwenzake Emmanuel Okwi, wataondoka Zambia na kuunganisha moja kwa moja hadi jijini Cairo kuungana na Yanga.

Kwa sasa Yanga wanajiandaa kuondoka jijini Dar es Salaam kwenda Cairo kwa ajili ya mechi yao ya Ligi ya Mabingwa Afrika dhidi ya Al Ahly, Jumapili.

0 COMMENTS:

Post a Comment

TwitterFacebookGoogle PlusLinkedInRSS FeedEmail

GONGA HAPA KWENDA AZAM TV

B2.jpg
Image and video hosting by TinyPic