Manchester United imesonga mbele Ligi ya Mabingwa hadi hatua ya
robo fainali baada ya kuichapa Olimpiakos kwa mabao 3-0.
Mchezo wa kwanza, United ilipoteza kwa kufungwa mabao 2-0,
ugenini.
Maana yake imefuzu kwa jumla ya mabao 3-2, huku Robin van Persie
akiibuka shujaa kwa kufunga mabao yote matatu ‘hat trikc’.
Katika mechi ya jana kwenye Uwanja wa Old Trafford, United walikwenda
mapumziko wakiwa wanaongoza kwa mabao hayo mawili.
Man Utd: De Gea 7.5, Rafael 6.5,
Jones 6.5, Ferdinand 6, Evra 6.5, Welbeck 8 (Fletcher 82), Giggs 8, Carrick
6.5, Valencia 7 (Young 77, 6), Rooney 7.5, Van Persie 9 (Fellaini 90).
Subs: Lindegaard, Hernandez, Kagawa, Januzaj.
Booked: Carrick, Evra.
Goals: Van Persie 25 pen, 45+1, 52.
David Moyes - 8
Olympiacos: Roberto 6.5, Salino 5.5, Manolas 6, Marcano 5, Holebas 5.5,
N'Dinga 6, Maniatis 6.5, Perez 5.5 (Valdez 7, 6), Dominguez 6.5, Fuster 6.5,
Campbell 7.
Subs: Megyeri, Samaris, Haedo Papadopoulos, Bong Songo.
Booked: Manolas, Dominguez, Leandro Salino.
Referee: Bjorn Kuipers (Holland)
Man of the match: Robin van Persie
*Ratings by Chris Wheeler at Old
Trafford
0 COMMENTS:
Post a Comment