Mabingwa wa Soka Tanzania Bara, Yanga
wametua salama jijini hapa.
Lakini uwanjani hapo kukawa na tafrani
kubwa kwa kuwa waandishi walitaka wazungumze. Hakuna mchezaji hata mmoja wa
Yanga aliyezungumza.
| MAKAMU MWENYEKITI WA YANGA, CLEMENT SANGA NA KOCHA MKUU, HANS VAN DER PLUIJM. |
Badala yake walipanda kwenye basi
walilokuwa wamekusudia na kuondoka uwanjani hapo.
Waandishi hao walitumia muda mwingi
kuwapiga picha na kulipiga picha basi hilo.







0 COMMENTS:
Post a Comment