March 6, 2014



Kumeuibuka na hali ya sintofahamu, uwanja utakaochezewa mechi kati ya Yanga dhidi ya Al Ahly.

Yanga itaivaa Al Ahly katika mechi ya pili ya hatua ya 32 bora , Jumapili. Mechi ya kwanza Warabu walilala kwa bao 1-0 jijini Dar.
Haijulikani hasa kwa kuwa wenyeji hawajasema na imeelezwa kuna tatizo kwa kuwa baadhi ya wahusika wa viwanja hawataki viwanja vyao vitumike.
Hadi kesho mchana itakuwa imejulikana na huenda ukatangazwa uwanja hasa utakuwa ni upi.

Kwa wanaofuatulia magazeti, kila kitu kitaelezewa vizuri kwenye gazeti la CHAMPIONI IJUMAA. Usikose.

0 COMMENTS:

Post a Comment

TwitterFacebookGoogle PlusLinkedInRSS FeedEmail

GONGA HAPA KWENDA AZAM TV

B2.jpg
Image and video hosting by TinyPic