April 9, 2014


MPIRA UMEKWISHAAAA
dK 90+2 Javu anawatoka mabeki wa Kagera na kupiga shuti kali lakini kipa Aghaton anaokoa

Dk 3 ZA NYONGEZA
Dk 89, Cannavaro analambwa kadi ya njano
Dk 87, Yanga wanamtoa Kiiza, nafasi yake inachukuliwa na Nizar Khalfan

Dk 85 Msuva anakosa bao yeye na nyavu..
Dk 84 Felix anatoka na Kagera wanamuigiza Hamis Kitagenda

Dk 81, Kiiza anashindwa kumalizia mpira wa krosi ya Msuva hatua mbili kutoka langoni mwa Kagera, unakuwa goal kick
Dk 76, Themi Felix anashindwa kunyoosha mguu afunge, Kagera wanaamka kiasi fulani na kupeleka mashambulizi mengi zaidi

Dk 71, Javu anapiga kichwa cha kuchumpa, kinatoka kidogo nje ya lango
Dk 64 Ngassa anatoka na nafasi yake inachukuliwa na Hussein Javu
GOOOO, dK 62 Daudi Jumanne anaifungia Kagera bao kwa shuti
Dk 61, Hussein Dapii anaingia kuchukua nafasi ya Adam Kingwande
Dk 58, Ngassa anawatoka mabeki wa Kagera na kupiga shuti lakini dhaifu
Dk 52, Twite analambwa kadi ya njano (Yanga imecheza faulo 19 na Kagera 14)Dk 52

Kiiza akiwa hatua tano kutoka lango la Yanga, lakini anashindwa kufunga (Kocha Hans van der Pluijm anaweka mikono kichwani).

Dk 51, Yanga wanafanya shambulizi kali, krosi ya Msuva Ngassa anashindwa kufunga
Dk 48, Kingwande anawatoka mabeki Yanga na kupiga shuti linatoka nje na kupiga nyavu za pembeni.

dK 46 Themi Felix anajaribu kuwatoka mabeki wa Yanga lakini mpira unaokolewa.

MPIRA MAPUMZIKO
Dk 44, Kagera wanafanya shambulizi tena, lakini ni hafifu huku Yanga wakionekana kucheza taratibu hali inayodhihirisha katika kipindi hicho cha kwanza wameridhika na bao mbili.

Dk 41 Jumanne anapiga shuti lakini linaokolewa na DidadK 37 gEORGE Kavila anapiga shuti kali lakini Dida anafanya kazi ya ziada kuokoa na kuwa kona
GOOOOODk 35, Kavumbagu anafunga bao zuri kwa Yanga baada ya kupokea pasi ya Msuva

Dk 32, Ernest wa Kagera anafanya kazi ya ziada kuokoa krosi ya Msuva na kuzaa kona ambayo hata hivyo haizai kitu

DK 30, Juma Abdul analambwa kadi ya njano
Dk 23, Themi Felix anapiga shuti kali lakini linatoa pembeni kidogo

Dk 21, Mpira unaonekana kuchafuka na Yanga wanacheza faulo tatu mfululizo

Dk 18, Mangwa anapiga shuti kali lakini linawababatiza mabeki wa Yanga
Dk 11, Mpira unachezwa katika zaidi na inaonekana hakuna mashambulizi makali

Dk 6, Adam Kingwande anapiga mpira wa kichwa, lakini kipa Dida anauona
Dk 4, Kagera wanafanya shambulizi kali lakini kipa Dida anafanya kazi ya kuokoa, inakua kona ambayo haina madhara

GOOOODk 2, Hamis Kiiza anafungia Yanga bao baada ya krosi ya chinichini ya Simon Msuva
dK YA KWANZA MPIRA UNAANZA TARATIBUU

0 COMMENTS:

Post a Comment

TwitterFacebookGoogle PlusLinkedInRSS FeedEmail

GONGA HAPA KWENDA AZAM TV

B2.jpg
Image and video hosting by TinyPic