EXCLUSIVE: UCHAGUZI SIMBA KUFANYIKA JUNI 29 Uchaguzi Mkuu wa Viongozi wa klabu ya Simba, utafanyika Juni 29. Kamati ya uchaguzi ya Simba iliyokaa jana hadi usiku, imekubaliana kuwa uchaguzi huo kufanyika siku hiyo. Imeelezwa kuwa fomu zitaanza kuchukuliwa ndani ya siku chache.
0 COMMENTS:
Post a Comment