FULL TIMEGOOOOO Dk 120 Ronaldo anaifungia bao Madrid kwa mkwaju wa penalti baada ya kuangushwa
GOOOOOO DK 120, Marcelo anaifungia Madrid bao la tatu
DK 115 Casilas anafanya kosa tena, lakini David Villa anashindwa kuitumia nafasi.
DK 110 Bale anaifungia Madrid bao la pili kwa kichwa baada ya Di Maria kuwatoka walinzi wa Atletico na kupiga shuti lililookolewa na kipa kabla ya kumkuta mfungaji
DK 97, Madrid ndiyo wanaonekana kufanya mashambulizi zaidi uku Atletico wakijilinda zaidi.
DAKIKA ZA NYONGEZA:
GOOOOO DK 90+3 Ramos kwa kichwa anaipatia Madrid bao la kusawazisha
DK 90+2 Madrid wanapata kona mbili mfululizo.
Dk 84 Madrid wanafanya mashambulizi mfululizo lakini difensi ya Atletico inaonekana kuwa makini zaidi
DK 80 Atletico wanamtoa Felippe Luis anaingia Toby Alderweireld na Atletico wanaoneka kupaki basi sasa.
DK 77 Bale anawatoka mabeki ya Atletico na yeye na kipa, anapiga nje
DK 74 Ronaldo anapiga tik tak lakini mpira unapaa juu ya lango la Atletico
DK 73 Bale anapata nafasi nzuri, lakini shuti lake buuuu linatoka nje
DK 67 Isco anapiga shuti lakini linatoka pembeni mwa lango la Atletico
DK 66 Atletico wanamtoa Raul Garcia na Sosa anachukua nafasi yake
DK 62, Ronaldo anaukosa mpira wa krosi ya Ramos ambayo ingeweza kuisaidia Madrid
DK 58 Madrid wanawaingiza ISco na Marcelo kuchukua nafasi za Coentrao na Khadeira
DK 56 Adrian anapiga shuti kali kwenye lango na Madrid inaokolewa na kuwa kona tasa
DK 54, Ronaldo anapiga shuti linazuiwa na kuwa kona tena lakini haina manufaa..
DK 53, Ronaldo anapiga mkwaju wa adhabu kipa wa Atletico anaokoa inakuwa kona
DK 50, Raul Garcia anapiga shuti kali linapita juu ya lango la Madrid
DK 47, hakuna timu iliyofanya shambulizi kwenye lango la mwenzake
KIPINDI CHA PILI KIMEANZA
MAPUMZIKO:
DK 45 wanapata kona baada ya kufanya shambulizi, lakini inakuwa haina faida.
DK 41, Gabi anapiga kichwa kinapita juu kidogo ya lango la Madrid ambao wanaonekana kupoteana kwa kiasi fulani.
GOOOOOOO DK 35, Atletico wanapata bao kupitia Diego Godini anayefunga kwa kichwa (Huyu Godini bao lake kwa kichwa dhidi ya Barcelona ndiyo liliipa ubingwa wa La Liga Atletico).
Dk 31, Bale anaikosema Madrid bao baada ya difensi ya Atletico kujichanganya, anapiga nje baada ya kuingia eneo la 18.
Dk 28, Ronaldo anapiga mkwaju wa faulo lakini unadakwa kuifundi na Courtois
DK 21 Benzema anapiga kichwa lakini unadakwa kilahisi
Dk 15, hakuna timu iliyofanya shambulizi kali hadi sasa, lakini inaonekana Atletico wamejipanga vizuri kwenye ulinzi. DK 9 Atletico wanamtoa Costa na kumuingiza Adrian
Mechi imeanza jijini Lisbon, kasi ni kubwa sana na kumbe ni janja ya nyani, kwani Diego Costa ndani ya nyumba tofauti na listi za vikosi zilizotolewa mapema kabla ya mechi hiyo kuonyesha makocha waliwatoa Costa na Pepe wakionyesha hawataanza.

Real Madrid: Casillas, Carvajal, Varane, Sergio Ramos, Fabio Coentrao (Marcelo 59), Modric, Khedira (Isco 59), Di Maria, Bale, Benzema (Morata 79), Ronaldo. Subs: Diego Lopez, Pepe, Arbeloa, Illarramendi.
Goal: Sergio Ramos 90+3.
Booked: Sergio Ramos, Khedira.
Atletico Madrid: Courtois, Juanfran, Miranda, Godin, Filipe Luis (Alderweireld 83), Raul Garcia (Sosa 66), Gabi, Tiago, Koke, Villa, Diego Costa (Adrian 9). Subs: Aranzubia, Mario Suarez, Rodriguez, Diego.
Goal: Diego Godin 36.
Booked: Raul Garcia, Miranda, Villa, Juanfran, Koke.
Referee: Bjorn Kuipers (Holland)
0 COMMENTS:
Post a Comment