June 17, 2014



Mgombea wa nafasi ya Urais ya Simba aliyeenguliwa, Michael Wambura, amekata rufaa tena.
Kamati ya uchaguzi ya Simba, ilitangaza kumuondoa Wambura kwa mara ya pili kwenye uchaguzi huo baada ya kupiga kampeni kabla ya muda.


Lakini Wambura amewasilisha rufaa hiyo leo na imeelezwa tayari imepangiwa siku.
Awali Rais wa TFF, Jamal Malinzi alitaka Simba kuunda kamati ya maadili, lakini safari hii kamati yake ya nidhamu imepokea rufaa ya Wambura na itasikilizwa mara moja!
Kamati ya rufaa ndiyo iliyomrudisha Wambura kugombea baada ya kuwa ametemwa na kamati ya uchaguzi.

0 COMMENTS:

Post a Comment

TwitterFacebookGoogle PlusLinkedInRSS FeedEmail

GONGA HAPA KWENDA AZAM TV

B2.jpg
Image and video hosting by TinyPic