GHANA YACHEZA VIZURI, LAKINI YACHAPWA 2-1 NA MAREKANI NAHODHA WA MAREKANI, DEMPSEY AKISHANGILIA BAADA YA KUFUNGA BAO LA KWANZA DHIDI YA GHANA. WAAFRIKA HAO NDIYO WALICHEZA VIZURI ZAIDI KATIKA MECHI HIYO LAKINI WAKAPOTEZA NAFASI NYINGI ZA KUFUNGA NA KUFANYA MECHI IISHE KWA MABAO 2-1.
0 COMMENTS:
Post a Comment