Siku chache
baada ya kiungo Cesc Fabregas kutimkia Chelsea, Kocha Mkuu wa Barcelona, Luis
Enrique ameamua kumchukua Ivan Rakitic wa Sevilla.
Rakitic ndiye
ataziba pengo la Fabregas na ameingia mkataba wa miaka mitano.
Pia Barcelona
imemnasa kinda kutoka Manchester City aitwaye, Denis Suarez kwa mkataba wa
mkopo wa miaka miwili.
0 COMMENTS:
Post a Comment