June 8, 2014




 England imeshindwa kutamba katika mechi yake ya mwisho ya kirafiki ya Kombe la Dunia.
Mechi hiyo iliyopigwa jijini Miami, Marekani imemalizika kwa suluhu lakini kivutio kilikuwa ni radi kali iliyopiga na kusababisha umeme kukatika katika uwanja huo.


Baadaye mwamuzi alilazimika kusimamisha mechi hiyo kwa dakika 22 ingawa wachezaji baadaye walirejea baada ya takribani dakika 40.
Hiyo ndiyo mechi ya mechi ya England ya kirafiki kabla ya kuanza safari ya kwenda Brazil kwenye Kombe la Dunia.



England: Hart (Forster 75), Johnson, Cahill, Jagielka, Baines, Gerrard (Barkley 45), Henderson (Lampard 83), Lallana, Sturridge, Rooney (Wilshere 45), Welbeck (Lambert 79).
Subs not used: Foster, Smalling, Jones, Milner, Sterling, Shaw, Stones, Flanagan.
Booked: Cahill, Lallana, Baines.
Honduras: Valladares, Beckeles, Figueroa, Bernardez, Izaguirre (Mario Martinez 90), Espinoza (Juan Garcia 86), Wilson Palacios, Garrido (Claros 45), Marvin Chavez (Najar 61), Costly (Delgado 69), Bengtson (Jerry Palacios 75).
Subs not used: Lopez, Osman Chavez, Montes, Oscar Garcia, Rony Martinez, Escober.
Booked: Beckeles, Izaguirre, Garrido, Bernardez.
Sent off: Beckeles.
Referee: Ricardo Salazar (USA)
Attendance: 45,379.




0 COMMENTS:

Post a Comment

TwitterFacebookGoogle PlusLinkedInRSS FeedEmail

GONGA HAPA KWENDA AZAM TV

B2.jpg
Image and video hosting by TinyPic