Bondia ambaye hajawahi kupigwa, Floyd Mayweather ndiye
mwanamichezo anayelipwa zaidi sasa duniani.
Mayweather
ambaye ameshinda mapambano yake yote 46 ya kulipwa aliyocheza, ameingiza
dola milioni 105 kwa mwaka tu.
Mapambano yake mawili ya mwisho alizichapa na Saul ‘Canelo’
Alvarez na baadaye Marcos Maidana aliyempa upinzani mkali.
Mayweather, 37, pia amempiga bao Cristiano
Ronaldo ambaye ameshika nafasi ya pili na kuwa mwanasoka aliyekunja mkwanja
mwingi zaidi.
Nafasi ya tatu imekwenda kwenye mpira wa kikapu,
bado LeBron James wa Miami Heat wanaoendelea kusumbuana na Spurs kubeba ubingwa
wa NBA.
Wengine wanaolipwa zaidi katika michezo, hawa
hapa.
Total | Salary | Endorsements | Sport | |
---|---|---|---|---|
Floyd Mayweather
|
$105m
|
$105m
|
$0m
|
Boxing
|
Cristiano Ronaldo
|
$80m
|
$52m
|
$28m
|
Football
|
LeBron James
|
$72.3m
|
$19.3m
|
$53m
|
Basketball
|
Lionel Messi
|
$64.7m
|
$41.7m
|
$23m
|
Football
|
Kobe Bryant
|
$61.5m
|
$30.5m
|
$31m
|
Basketball
|
Tiger Woods
|
$61.2m
|
$6.2m
|
$55m
|
Golf
|
Roger Federer
|
$56.2m
|
$4.2m
|
$52m
|
Tennis
|
Phil Mickelson
|
$53.2m
|
$5.2m
|
$48m
|
Golf
|
Rafael Nadal
|
$44.5m
|
$14.5
|
$30m
|
Tennis
|
Matt Ryan
|
$43.8m
|
$42m
|
$1.8m
|
American Football
|
0 COMMENTS:
Post a Comment