Carlo
Ancelotti ametimiza miaka 20 akiwa kocha katika klabu mbalimbali barani Ulaya.
Akiwa na
nafasi hiyo Ancelotti amepata mafanikio makubwa ikiwa ni pamoja na kutwaa
makombe ya Ligi ya Mabingwa Ulaya mara tatu.
Amefundisha
katika ligi tatu tofauti na kutwaa makombe ya ubingwa wa ligi akiwa Italia na
AC Milan pia Italia na PSG.
Sasa Muitaliano huyo anainoa
Real Madrid ambaye ameipa Ligi ya Mabingwa kwa mara ya kumi.
Amewahi
kushinda UEFA Super Cups, pia Kombe la Dunia kwa Klabu akiwa na AC Milan.
Alianza kazi
hiyo akiwa na klabu ya nchini Italia ya Reggiana, hiyo ilikuwa mwaka 1995.
0 COMMENTS:
Post a Comment