July 10, 2014


ARGENTINA IMEFANIKIWA KUFUZU FAINALI YA KOMBE LA DUNIA NA SASA ITAWAVAA WAJERUMANI. IMEFUZU LEO BAADA YA KUIFUNGA UHOLANZI KWA MIKWAJU 4-2 YA PENALTI KATIKA MECHI ILIYOMALIZIKA KWA SARE YA BILA BAO KATIKA DAKIKA 120.
BAADA YA HAPO, MIKWAJU YA PENALTI IKAAMULIWA NA WACHEZAJI WAWILI WA UHOLANZI AKIWEMO SJNEIDER WAKAPOTEZA BAADA YA KIPA ROMEO KIZUPANGUA NA ARGENTINA WAKAFUNZA ZOTE NNE.
UJERUMANI ILIINGIA FAINALI KWA KUITWANGA BRAZIL AMBAO NI WENYEJI KWA MABAO 7-1 NA SASA NGOMA INASUBIRIWA JUMAPILI WAKATI BRAZIL NA UHOLANZI WATAKUTANA JUMAMOSI KUWANIA NAFASI YA TATU.



Holland: Cillessen, De Vrij, Vlaar, Martins Indi (Janmaat 46), Kuyt, De Jong (Clasie 61), Sneijder, Wijnaldum, Blind, Robben, van Persie (Huntelaar 95)
Substitutes not used: Vorm, de Guzman, Verhaegh, Veltman, Kongolo, Lens, Depay, Krul
Booked: Martins Indi, Huntelaar
Argentina: Romero, Zabaleta, Demichelis, Garay, Rojo, Biglia, Mascherano, Lavezzi (Maxi Rodriguez 99), Messi, Perez (Palacio 80), Higuain (Aguero 81)
Substitutes not used: Orion, Campagnaro, Gago, Augusto Fernandez, Federico Fernandez, Alvarez, Basanta, Andujar
Booked: Demichelis
Referee: Cuneyt Cakir (Turkey)









0 COMMENTS:

Post a Comment

TwitterFacebookGoogle PlusLinkedInRSS FeedEmail

GONGA HAPA KWENDA AZAM TV

B2.jpg
Image and video hosting by TinyPic