Hatimaye mshamabuliaji Geilson Santos
Santana 'Jaja' raia wa Brazil leo amesaini mkataba wa miaka
miwili (2014-2016) kuitumikia timu ya Young Africans kwa ajili ya michuano
mbalimbali ikiwemo ya Ligi Kuu ya Vodacom pamoja na mashindano ya Kombe la
Shirikisho barani Afrika mwakani.
0 COMMENTS:
Post a Comment