Mshambuliaji wa Man City, alvaro Nagredo amevunjika mguu.
Mfupa mmoja wa mguu wake unaojulikana kama metatarsal, umevunjika katika
mechi ya kirafiki dhidi ya Hearts.
Kutokana na tatizo, sasa Nagredo atakaa nje kwa muda wa miezi mitatu.
Kupitia mtandao wa Twitter, Nagredo amethibitisha hilo na wachezaji
kadhaa wamemuombea apone haraka.
0 COMMENTS:
Post a Comment