UJERUMANI IMEWEKA REKODI YA KUWA TIMU ILIYOFANIKIWA KUCHEZA NUSU FAINALI ZA KOMBE LA DUNIA KWA MARA YA NNE MFULULIZO. UJERUMANI IMEFANIKIWA KUINGIA FAINALI BAADA YA KUWASHINDA JIRANI ZAO UFARANSA KWA BAO 1-0 KATIKA MECHI YA KWANZA YA ROBO FAINALI YA KOMBE LA DUNIA. UJERUMANI ILIINGIA NUSU FAINALI MWAKA 2002 NA KUTOLEWA NA BRAZILI KATIKA FAINALI ZILIZOPIGWA KOREA NA JAPAN. IKARUDI TENA NA KUINGIA NUSU FAINALI IKIWA NYUMBANI MICHUANO HIYO ILIPOFANYIKA NCHINI UJERUMANI LAKINI MWAKA 2010 IKATINGA TENA NUSU FAINALI NA KUNG'OLEWA KWA BAO 1-0 NA HISPANIA MFUNGAJI AKIWA CARLOS PUYOL. HISPANIA NDIYO WALIOTWAA UBINGWA. |
0 COMMENTS:
Post a Comment