August 16, 2014



Kocha Carlo Ancelotti atapata nafasi moja tu ya mechi ya kirafiki kabla ya kuanza kwa ligi.
Ameahidi wachezaji wengi waliokosa nafasi kwenye mechi ya Super Cup ya Ulaya dhidi ya Sevilla atawapa nafasi ya kucheza.
Mmoja wao ni kipa mpya Keylor Navas na kiungo mkongwe Xabi Alonso.
Baada ya hapo, Madrid itakutana na wapinzani wake wakubwa, Atletico Madrid katika mechi ya Super Cup ya Hispania.

0 COMMENTS:

Post a Comment

TwitterFacebookGoogle PlusLinkedInRSS FeedEmail

GONGA HAPA KWENDA AZAM TV

B2.jpg
Image and video hosting by TinyPic