August 16, 2014



Kocha Arsene Wenger amesema msimu wa Ligi Kuu England unaoanza leo, umeanza mapema sana.
Wenger amesema kikosi chake ambacho kina wachezaji wengi wapya, hakijawa tayari kama anavyoamini hali inayoweza kusababisha wachezaji wengi kuwa majeruhi.

Kocha huyo Mfaransa amesema pamoja na Arsenal, anaamini timu nyingine za Premier League hazijawa tayari.
Arsenal inaanza msimu huo leo kwa kukipiga na Crystal Palace katika mechi itakayochezwa saa 1:30 usiku, kwenye Uwanja wa Emirates.

0 COMMENTS:

Post a Comment

TwitterFacebookGoogle PlusLinkedInRSS FeedEmail

GONGA HAPA KWENDA AZAM TV

B2.jpg
Image and video hosting by TinyPic