August 25, 2014



Listi iliyokuwa na wachezaji wakongwe wa Real Madrid na wale wa Tanzania ‘Tanzania Eleven’ ilifuatiliwa kwa umakini mkubwa na Rais Jakaya Kikwete.

Mara baada ya kupata listi hiyo, Rais Kikwete aliikagua hatua kwa hatua kabla ya mechi hiyo iliyopigwa juzi Jumamosi kwenye Uwanja wa Taifa jijini Dar.
Bahati mbaya ilikuwa listi moja tu, hivyo Rais wa TFF, Jamal Malinzi na Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Mecky Sadick, wakalazimika ‘kufollow’ kwa mmbali.

0 COMMENTS:

Post a Comment

TwitterFacebookGoogle PlusLinkedInRSS FeedEmail

GONGA HAPA KWENDA AZAM TV

B2.jpg
Image and video hosting by TinyPic