NDIYO RAHA YA KUWA NA KOCHA ALIYEWAHI KUKIPIGA, KAMA AMBAVYO ILIKUWA LEO KATIKA MECHI YA LIGI KUU ENGLAND WAKATI KOCHA WA SOUTHAMPTON, RONALD KOEMAN NA BRENDAN RODGERS WA LIVERPOOL AMBAO WALIKUWA WAKITOA BURUDANI YA KUIWAHI MIPIRA KWA 'KUKONTROO', HALAFU WANAIRUDISHA UWANJANI. CHEKI MWENYE.
0 COMMENTS:
Post a Comment