Mkurugenzi
Mtendaji Mkuu wa TSN, Farough Baghoza, jana alitumia sekunde kadhaa ‘kumuuma
sikio’ kiungo wa wakongwe wa Real Madrid, Chiristian Karembeu.
Tokea ametua nchini jana usiku, Karembeu amekuwa 'beneti' kinoma na Faroukh ambaye pia ni mwanasoka.
Jana walizungumza muda mwingi na Karembeu baada ya kutua nchini na kufanya watu wawashangae kwa kuwa walikuwa kama vile watu wanaoishi 'kitaa' kimoja vile au wamekuwa wakikutana mara kwa mara maana Faroukh ni shabiki wa 'kulia' wa Real Madrid.
|
0 COMMENTS:
Post a Comment