Samuel Eto’o anatarajia kutua kesho na kufanya vipi kabla ya kumalizia
usajili wake na Everton.
Imeelezwa mazungumzo na kila kitu kimeshakamilika ili Eto’o atue
Everton.
Lakini taarifa nyingine zimeeleza, Everton imemtaka Eto’o kupunguza
kiwango cha mshara.
Mshahara wake akiwa Chelsea msimu uliopita ulikuwa ni pauni 130,000 kwa
wiki.
0 COMMENTS:
Post a Comment