RAMOS, RONALDO WAIAMBIA MADRID IMBAKIZE DI MARIA Wachezaji wawili wa Real Madrid, Sergio Ramos na Cristiano Ronaldo, wameulilia uongozi wa klabu hiyo kuhakikisha Angelo Di Maria anabaki. Wawili hao wanaamini bado wanamhitaji mkali huyo kwa ajili ya kuongeza nguvu katika kikosi chao. Timu kadhaa ikiwemo Manchester United zimekuwa zikimvizia kwa udi na uvumba raia huyo wa Argentina.
0 COMMENTS:
Post a Comment