August 21, 2014



Rasmi beki Marcos Rojo ametua Manchester United kwa kitita cha pauni milioni 16 akitokea Sporting Lisbon.
Beki huyo ametua Manchester na kukabidhiwa jezi namba 5 ambayo mara ya mwisho ilikuwa inavaliwa na beki nguli, Rio Ferdinand ambaye sasa ametua QPR.
Rojo, 24, raia wa Argentina amekuwa ni chaguo la kwanza la kocha Louis van Gaal ambaye anataka kuimarisha safu ya ulinzi.


0 COMMENTS:

Post a Comment

TwitterFacebookGoogle PlusLinkedInRSS FeedEmail

GONGA HAPA KWENDA AZAM TV

B2.jpg
Image and video hosting by TinyPic