Moja a sifa kubwa ya beki mpya aliyesajiliwa Simba, Shaffih Hassan ni kuokoa mipira ya juu.
Beki huyo yuko vizuri kwa mipira ya juu na Kocha Patrick Phiri atapata nafasi ya kumuona zaidi akiwa naye kambini na kujua nini cha kurekebisha.
Simba iliamua kusajili beki mzalendo ili kumuacha Musoti ambaye alilazimika kumpisha Okwi.
0 COMMENTS:
Post a Comment