Kocha Patirick Phiri ameamua beki Joseph Owino kuwa nahodha wa Simba mpya.
Phiri amemuweka kando Nassor Said 'Chollo' kwa kuwa hana nafasi ya kucheza muda mwingi.
pamoja na Owino raia wa Uganda, Phiri amempa nafasi ya nahodha msaidizi Shaaban Kisiga ambaye amerejea kwenye timu msimu huu akitokea Mtibwa Sugar.
Tayari wawili hao wameishaanza kazi katika vituo vyao.
0 COMMENTS:
Post a Comment