Kocha Louis van Gaal amesema kiungo wake wa pembeni, Ashley Young hakujirusha
makusudi kupata penalti katika mechi dhidi ya Sunderland iliyomalizika kwa sare
ya mabao 1-1.
Beki Wes Brown aliuondoa mguu wake wakati anakutana na Young lakini
akaanguka na mwamuzi Martin Atkinson akamlamba kadi ya njano.
0 COMMENTS:
Post a Comment