WAMBURA AULA ZAIDI TFF, SASA MKURUNGENZI WA MASHINDANO WAMBURA Aliyekuwa Ofisa Habari wa TFF, Boniface Wambura ameula, sasa atakuwa Mkurugenzi wa Mashindano wa shirikisho hilo. Wambura amepata nafasi hiyo baada ya TFF kuamua kumpandisha cheo na sasa anaicha ile nafasi yake ya ofisa habari. Katibu Mkuu wa TFF, Mwesugwa Celestine amelisema hilo leo mbele ya waandishi wa habari jijini Dar.
0 COMMENTS:
Post a Comment