August 25, 2014

MALINZI(KUSHOTO) AKIWA NA RAIA WA CAF, ISSA HAYATOU.


Shirikisho la Soka Tanzania (TFF) chini ya Rais wake, Jamal Malinzi, limeomba kuadaa mashindano ya Kombe la Taifa Africa (Afcon).

TFF imetuma barua kwa Shirkisho la Soka Afrika (Caf) kuomba kuandaa mashindano yatakayofanyika 2017.
TFF imechukau uamuzi huo baada ya Caf kuifuta Libya iliyopanga kuandaa michuano hiyo mwaka 2017 kutokana na vurugu.
TFF imesema inaamini kuna miundombinu ya kutosha kuandaa michuano hiyo na tayari barua imetumwa Caf.
Katibu Mkuu wa TFF, Mwesigwa Celestine amesema barua ya maombi kwenda imeshatumwa.  

0 COMMENTS:

Post a Comment

TwitterFacebookGoogle PlusLinkedInRSS FeedEmail

GONGA HAPA KWENDA AZAM TV

B2.jpg
Image and video hosting by TinyPic