Kwa
mara nyingine wachezaji wa zamani wa Man United, Carlos Tevez na Patrice Evra
walishangilia pamoja wakiwa Juventus.
Juve
iliitwanga Malmo ya Sweden kwa mabao 2-0 katika mechi iliyochezwa Turin na
Tevez ndiye alikuwa shujaa aliyefunga yote mawili.
Wawili
hao walikuwa Man United wakati wa kipindi cha Kocha Alex Ferguson.
0 COMMENTS:
Post a Comment