Wakati
timu nyingine za England zikiwa bize na Ligi ya Mabingwa Ulaya wachezaji wa Man
United watafanyaje sasa.
Wameamua
kula bata tu kama ambavyo imeonekana picha ambayo aliitupia kipa David de Gea
akiwa an wenzake wanapata mlo wa usiku jana.
Kipa huyo alikuwa na wachezaji wengine kama Marcos
Rojo, Rafael, Antonio Valencia, Andreas Pereira, Anderson, Angel di Maria,
Ander Herrera and Juan Mata.
0 COMMENTS:
Post a Comment