Jezi zenye rangi hiyo kwenye Ligi Kuu
Tanzania Bara zinatumiwa na wababe wa Nyanda za Juu Kusini, Mbeya City ambao
msimu uliopita walishika nafasi ya tatu.
Man City watakuwa wanazitumia jezi hizo
katika mechi za ugenini huku nyumbani wakiendelea kung’ara na uzi wao wa bluu
bahari.
0 COMMENTS:
Post a Comment