Angalia
mshambuliaji wa Yanga, Jaja akiibusu medali yake ya mechi ya Ngao ya Jamii
baada ya kuifunga Azam FC kwa mabao 3-0.
Jaja
alifunga mabao mawili kwa ufundi wa juu na kuwanyamazisha waliokuwa
hawamuamini.
Wakati
Mbrazil huyo anashangilia medali yake na pembeni Ngao ya Jamii inaonekana,
nyuma yake Mwenyekiti wa Azam FC, Said Mohammed anaonekana ni mwenye majonzi
kweli.
0 COMMENTS:
Post a Comment