Mshambuliaji Enner Valencia wa West Ham amefunga
bonge la bao katika mechi ya Ligi England dhidi ya Hull City, jana.
Mechi hiyo ilimalizika kwa sare ya mabao 2-2 huku
yote manne yakionekana kuwa “bonge” ya mabao.
Lakini lile la Valencia alilofunga kutokana na
shuti lake la umbali wa yadi 20 lilikuwa kali zaidi.
Shuti lake lilichukua muda wa sekunde 7 tu kuwa
limetinga nyavuni tokea alipokuwa yeye.
Pia kasi yake ilionekana kuwa kubwa zaidi kwani
ilikuwa ni mita 70.1 kwa saa.
0 COMMENTS:
Post a Comment