Mshambuliaji
nyota wa Sweden, Zlatan Ibrahimovich amefunga mabao mawili katika mechi ya
kirafiki dhidi ya Estonia na kuiwezesha timu yake kushinda kwa mabao 2-0.
Lakini
mabao hayo mawili yamemuweka kwenye rekodi mpya ya kuwa mchezaji wa Sweden
aliyefunga mabao mengi zaidi kwa timu yake ya taifa.
Zlatan
amefikisha mabao 50, hivyo kuwapita washambuliaji na viungo wote waliowahi
kufunga mabao kwenye kikosi cha taifa la Sweden.
10 BORA YA WAPACHIKA MABAO SWEDEN
1.
Zlatan Ibrahimovic - 50 goals in 99 games
2.
Sven Rydell - 49 goals in 43 games
3.
Gunnar Nordhal - 43 goals in 33 games
4.
Henrik Larsson - 37 goals in 106 games
5.
Gunnar Gren - 32 goals in 57 games
6.
Kennet Andersson - 31 goals in 83 games
7.
Marcus Allback - 30 goals in 74 games
8.
Martin Dahlin - 29 goals in 60 games
9.
Tomas Brolin - 27 goals in 47 games
10.
Agne Simonssen - 27 goals in 51 games
0 COMMENTS:
Post a Comment