Bao la nahodha Aggrey Morris ndiyo ‘sumu’
iliyoimaliza Mbeya City huku Azam FC ikiibuka na ushindi wa bao 1-0.
Licha ya kubwa nyumbani, Mbeya City
imeshindwa kuizuia Azam FC baada ya bao hilo moja la Morris lililofungwa kwa
mkwaju wa adhabu baada ya Kipre Tchetche kuangushwa nje ya 18.
Mara ya mwisho zimekutaka kwenye uwanja huo
ilikuwa ni mechi ya kufunga msimu na Azam FC ikashinda na kubeba ubingwa.
Mjini Tanga, Coastal Union imeshinda kwa
mabao 2-0 dhidi ya Mgambo.
0 COMMENTS:
Post a Comment