Beki wa Chelsea amepiga
mechi ya 500 akiwa nahodha wa timu hiyo.
Terry alionekana
akiwashukuru mashabiki wa Chelsea kuonyesha wamemuunga mkono hadi kufikisha
mechi 500 akiwa nahodha.
Alifanya hivyo mara baada
ya game dhidi ya Crystal Palace amvayo Chelsea waliibuka na ushindi.
Terry maarufu kama JT ni
mmoja wa mabeki visiki wa Ligi Kuu England na barani Ulaya pia.
0 COMMENTS:
Post a Comment